dairy

n 1 banda la kuhifadhi maziwa na kutengenezea bidhaa za maziwa. 2 duka la kuuzia maziwa na bidhaa zake. 3 kiwanda cha maziwa na bidhaa zake. ~ farm n shamba la kufugia ng'ombe wa maziwa. ~ damn cattle n ng'ombe wa maziwa. dairymaid n mwanamke anayefanya kazi kwenye banda la ng'ombe wa maziwa. dairyman n mwuza maziwa na bidhaa zake; mfanyakazi katika shamba la kufugia ng'ombe. ~ products n bidhaa za maziwa.