dèmarche

n (F) 1 hatua au taratibu za kisiasa (hasa za kuanzisha sera mpya). 2 ujumbe wa kidiplomasia wa kutoa malalamiko.