cycle

n 1 muhula mzima, kipindi au mambo yanayojirudia (k.m. majira), mbembeo. 2 duru, mzunguko wa kitu, mafuatano the ~ of the seasons of the year mafuatano ya nyakati za mwaka the life-~ of bee mzunguko wa maisha ya nyuki. 3 (of woman) hedhi. 4 mkusanyiko wa mashairi/nyimbo (agh. unaohusu tukio moja au mtu mmoja). vi panda baisikeli. cyclic n,adj. cyclical adj. cyclist n mpanda baiskeli.