cutler

n mjumu: mfua na mwuza visu, nyembe n.k. cutlery n 1 biashara ya mjumu. 2 vilia: vyombo vitumiwavyo kulia mezani k.m. kisu, uma, kijiko.