curtain

n pazia. draw a ~ over something (fig) -tozungumzia tena jambo hilo. ~-call n kuita mchezaji mbele ya pazia apigiwe makofi. ~ raiser n mchezo mfupi kabla mchezo halisi. curtains n (sl) mwisho it'll be ~s for you itakuwa mwisho wako. vt funika kwa pazia. ~ off kata/gawanya (k.m. chumba) kwa pazia.