curse

n 1 laana, apizo, hizaya. be under a ~ laaniwa, teseka kwa laana. 2 sababu ya hasara, nuksi gambling is often a ~ kucheza kamari ni nuksi. 3 tusi. 4 (colloq) the ~wakati wa hedhi. 5 not give/care a (tinker's) ~ -tojali kabisa. vt,vi 1 laani, apiza. 2 ~d with teseka na, sumbuliwa na. 3 tukana sana, tolea matusi. cursed adj (also curst) -laanifu, -liolaniwa; -a kuchukiwa, -a kuchukiza mno. ~ly adv.