current

current

1 adj 1 -a desturi, -a kawaida. 2 -liyopo, -a wakati uliopo, -a sasa, -a kukubaliwa na wengi ~ events/ affairs mambo leo ~ periodical jarida la sasa. 3 (of money) zinazotumika ~ assets raslimali ~ account akaunti ya hundi. currently adv. currency n 1 desturi, matumizi, kuenea give currency to a rumour eneza uvumi. 2 sarafu, fedha currency note noti foreign currency fedha za kigeni.

current

2 n 1 mkondo (wa maji, hewa, gesi, umeme n.k.). 2 mfulizo wa mambo, mfuatano (wa mambo).