curb

n 1 lijamu. 2 (fig) kizuio, udhibiti. 3 see kerb. 4 sugu lililoota katika kifundo cha mguu (wa nyuma) wa farasi. vt 1 dhibiti, zuia (hasira, matumizi ya fedha n.k.). 2 tawala (farasi).