culture

n 1 utamaduni. 2 kukua na kukomaa (kwa akili na mwili wa binadamu kutokana na mafunzo au uzoefu wa kutenda kazi). 3 hali ya maendeleo ya maarifa, elimu ya watu. 4 ulimaji, utunzaji (wa nyuki n.k.). 5 ustaarabu: fani zote, imani, mila na desturi, asasi za kijamii zitambulishazo jamii/mbari. 6 (bio) ukuzaji wa bakteria (kwa ajili ya matibabu au uchunguzi wa kisayansi). cultured adj (of persons) 1 -lioelimika, -liostaarabika. 2 (of artifact) -liosanifiwa/tengenezwa na binadamu. cultural adj.