cultivate

vt 1 lima; palilia. 2 (improve) endeleza, kuza (mtu, tabia); -wa makini, lea kwa wema. 3 jengaurafiki. cultivable adj. cultivation n. cultivator n mkulima; kaltiveta. cultivated adj 1 -enye elimu na adabu njema. 2 -liolimwa.