cult

n 1 (also religion) madhehebu. 2 upendo wa mtu (kwa kitu, kazi, mchezo n.k.). 3 kikundi cha watu wanaopenda sana vitu vya kisasa, mitindo ya kisasa n.k.