cuirass

n deraya (vazi la kiaskari kama kizibau cha ngozi ngumu au chuma). cuirassier n (mil) mpanda farasi aliyevaa deraya.