cuff

cuff

1 kofi. vt piga kofi.

cuff

2 n 1 sijafu (la mkono au mguu). off the ~ papohapo, bila kujiandaa, kiurafiki an off the ~ speech hotuba isiyoandaliwa play it off the ~ faragua (kufuatana na hali ilivyo). 2 (pl) cuffs n pingu. ~-links n vipingu vya sijafu.