cue

cue

1 n 1 ishara (k.m. maneno ya mwisho ya mwigizaji katika tamthiliya) inayoonyesha jambo la kufanywa na mwenzake. 2 kidokezi. take one's ~ from somebody fuata nyayo. ~ in (fig) toa habari kwa, fuata msimamo wa mwingine.

cue

2 n fimbo ya kuchezea biliadi.