cube

n 1 mchemraba, mchemrabasawa. ~ root kipeo cha tatu. 2 (of sugar n.k.) kidonge cha sukari vt 1 (math) peua mara tatu. 2 (cookery) kata vipande vidogo vidogo vya kimraba. cubic adj -a mchemraba. cubic unit n kizio cha ukubwa. cubism n uchoraji wa kutumia maumbo ya jometri. cubist n. cubital adj. cuboid adj kimchemraba.