cub

n 1 mtoto wa wanyama fulani wamwitu (kama simba, chui, mbweha). 2 (of a person) limbukeni; safihi. 3 chipukizi, kijana anayejifunza ufundi fulani, mkurufunzi ~ (scout) skauti chipukizi ~ reporter mwandishi wa habari chipukizi. vt,vi 1 (of animals) zaa. 2 saka watoto hasa wa dubu. cubbing n; ~by hole n 1 kijichumba. 2 mahali padogo.