crystal
n 1 fuwele. 2 chembechembe (jiwe kama kioo). as clear as ~ angavu kabisa, dhahiri kabisa adj -angavu, -a kung'aa. crystalline adj -liotengenezwa kwa fuwele; kama fuwele, angavu mno. crystallography n elimu ya fuwele. ~-gazing n utabiri wa kutumia tufe la kioo. crystallize vt, vi 1 ganda/gandisha; fanya, fanyika kitu kama kioo. 2 dhihirika/ dhihirisha (kwa mawazo n.k.). 3 gandisha kwa shata la sukari. crystallization n. ~lized fruits n matunda yaliyogandishwa kwa sukari, kashata za matunda.