crypto

- adj -a siri, -a mficho. a ~ fascist n mtetezi wa siri wa mafashisti. cryptogram n maandiko ya mficho (ya siri). cryptographer n mwandishi/mfichua msimbo.