crutch

n 1 gongo (la kutembelea mgonjwa au kilema). 2 (support) tegemeo; (fig) msaada wa hali. 3 pachipachi ya suruali, kaptura na miguu; kiraka (see crotch).