crust

n 1 gamba la mkate. 2 (on rice) matandu. 3 (on teeth) ukoga. 4 (on water) ukoga, gaga. 5 umbo/uso wa dunia. 6 (of salt) chunyu. 7 (biol) ganda, kigaga. vt,vi gandamanisha; gandamana. crusty adj 1 -enye gamba. 2 kali, -enye ghadhabu.