crush

vt,vi 1 seta, ponda, vyoga, gandamiza; kunjika, pondeka. ~ ruthlessly ponda. 2 tiisha, vunja nguvu ya; (ruin) angamiza ~ one's way through penya, swaga. ~ out kamua. n 1 msongano (wa watu), ghasia. 2 mbano, msongo. 3 (colloq) have a ~ on somebody husudu mtu; tamani mtu. 4 (biol) kilingo. 5 sharubati/kinywaji cha matunda. crushing -a ushindi/ushinde; -baya mno ~ing blow pigo angamizi.