crusade

n 1 vita vya msalaba, vita vya dini (vya zamani), vita vitakatifu. 2 harakati au mapambano yoyote dhidi ya yale yanayoaminika kuwa maovu. vi ~ (for/against) shiriki katika vita takatifu kwa/dhidi ya. crusader n.