crunch

vi,vt 1 saga kwa meno, chakacha, tafuna kwa kelele/kishindo. 2 kanyaga/vunjavunja changarawe, theluji kwa miguu/gurudumu. n 1 kusaga kwa meno when it comes to the ~ (colloq) wakati wa kukata shauri ukifika..., mambo yakiiva.