cruise

vi 1 (of ships) vinjari, enda huko na huko, zunguka. 2 (of vehicle) enda kwa kadiri. 3 tafuta mpenzi barabarani. 4 linda doria. n safari za burudani/kutalii. cruiser n 1 manowari ya kasi. 2 (of a police vehicle) gari la doria. cabin ~r n motaboti yenye nafasi ya kulala.