crude

adj 1 -bichi, -siosafishwa (k.m.kama sukari guru)/ghafi. ~oil n mafuta yasiyosafishwa. 2 (rude) -sio adilifu. 3 -sio stadi, -siokamilishwa vema au -liofanywa ovyoovyo. 4 (of statistics) -siorekebishwa, -siosahihishwa, -sioficha. crudely adv. crudeness n. crudity n.