crucible

n 1 kalibu; kikalibu. ~ steel n chuma cha pua cha kalibu; chungu cha kuyeyushia madini. 2 (colloq) majaribio makali. ~ of suffering majaribio ya matuo (maumivu n.k.).