crown

n 1 taji la mfalme/malkia; uwezo/amri ya mfalme/utawala wa mfalme; mfalme. ~ colony n koloni la kifalme. ~ ed head n mfalme/ malkia. ~ lands n milki za kifalme. ~ prince n mwana wa mfalme atakayerithi ufalme. ~ witness n shahidi upande wa serikali. 2 utosi, sehemu ya juu ya kofia, kileleta; sehemu ya jino inayoonekana. 3 uzuri; ukamilifu, utimilifu. 4 taji la maua la kichwani kama dalili ya ushindi. 5 (arch) sarafu ya Kiingereza ya thamani ya shilingi tano. vt 1 visha taji, tawaza. 2 (reward) tuza. 3 kamilisha. 4 tukuza. 5 -wa matokeo ya; fanikisha success will ~ his efforts ushindi utakamilisha/ utapamba jitihada zake; atafanikiwa katika juhudi zake. that ~s it all hiyo inakamilisha yote. 6 -wa juu ya a hill ~ed with trees kilima chenye miti kileleni. 7 ziba jino. crown-wheel n (tech) gurudumu lenye meno.