crowd

n 1 kundi, halaiki, umati, kaumu. 2 watu, umma follow the ~ fuata mkumbo/mkondo. 3 (colloq) genge. 4 lundo. vt,vi (colloq) songa, jaza sana; jaa, songamana. ~ round zunguka, songa. ~ on sail tweka matanga yote. ~ in penya/penyeza kwa wingi. ~ through gagamiza, penyeza kwa wingi. ~ out (of a group) toka, zuia your article was ~ed out makala yako haikupata nafasi/ilizuiliwa. crowded adj -liojaa, -liosongamana.