2n 1 kunguru. as the ~ flies kwa mwendo wa moja kwa moja. to eat ~ salimu amri kwa lazima; dhilishwa, twezwa. have a ~ to pick (to pluck) (with somebody) kamia, -wa na jambo baya la kuzungumza na mtu. 2 see~ bar. ~ 's-footn kijikunjo kwenye pembe la jicho. ~'s -nestn kidungu juu ya mlingoti wa chombo.