cross

cross

1 n 1 msalaba pectoral ~ msalaba wa kifuani. 2 alama ya msalaba (k.m. x, +). make one's ~ tia dole. 3 (fig) jaribu/taabu, majonzi. bear one's ~ beba msalaba/mzigo wako. 4 mchoro/mstari unaokata herufi (k.m. katika herufi 't'); (bot,bio) uzazi mchanganyiko. 5 njia panda. 6 (dress making) mshazari, mshono kingamo 7 nishani ya ushujaa (e.g. Victoria ~).

cross

2 vt,vi 1 pitana; kingama, kingamana, kunja (mikono, miguu). ~ somebody's palm with silver patia hela (hasa mtabiri). ~ words with somebody pigana/bishana na mtu. keep one's fingers ~ed (fig) tumaini (kuwa kila kitu kitakwenda sawa). ~ my heart! kweli! haki ya Mungu. 2 ~ (off/out/ through) kata kwa mistari. ~ a cheque funga cheki. ~ed cheque n cheki iliyofungwa. ~ one's t's and dot one's i's wa sahihi na mwangalifu sana. 3 (of river, road etc) ~ (from); ~ (to) vuka, enda ng'ambo ya pili. ~ somebody's path kutana na; (pass) pita; kata. ~ one's mind kumbuka, jiwa na wazo, ingia ghafula katika fikira. 4 zuia, kingama, pinga. 5 kutana njiani, pishana. ~ed line n kuingiliana kwa makosa katika simu. 6 (be athwart) kata, kingamiza. 7 ~ (with) zalisha kwa kuchanganya (mbegu n.k.). 8 (rel) ~ oneself fanya/onyesha alama ya msalaba. 9 ~ off/out futa.

cross

3 adj 1 (colloq) -kali, -a hasira, -a chuki, -a kuchacha. as ~ as two sticks -enye kukasirika sana, -enye hamaki mbaya. be ~ fanya chuki. 2 -a kwenda upande, -a mshazari, kingamizi. 3 -a kukabili, -a kuelekea. 4 -a kukingama, -a kupandana, -a kupinga njia; (of winds) mbisho, tanga mbili. crossness n. cross-bones n (pl (of a sign) mifupa ya paja iliyopandana inayochorwa chini ya fuvu la kichwa kuashiria mauti au hatari. cross-breed n uzalishaji mtambuka. vt zalisha kwa mtambuka. cross-bred adj. ~-current n mikondo pishani; fig) maoni tofauti na (maoni) ya wengi. cross-fertilization n uchavushaji mtambuko. cross-fire n (mil) mashambulio ya risasi kutoka pande mbili; (fig) hali ya kuulizwa maswali na watu mbalimbali be caught in ~ fire jikuta katikati ya mambo/mzozo. cross-grained adj 1 (of wood) -enye nyuzi zinazopishana. 2 (fig) -kaidi, -a chuki, korofi. cross-index n see ~ reference. cross-legged adj -a kukaa kimarufaa. cross-over n 1 kipito cha reli. 2 koti lenye kufunga. 3 mbadilishano wa jeni kati ya kromosomu. cross-pollination n (bio) uchavushaji mtambuko. cross-purposes n (of persons) kuwa na malengo yanayopingana; hali ya kutoelewana, suitafahumu they were talking at ~ purposes kila mtu alikuwa akiongea vyake. be at ~ purposes -toelewana, pingana. ~ -reference n marejeo mtambuko (ili kupata maelezo zaidi). ~-roads n (pl) njia panda; (fig) (in life) kipindi cha kufanya maamuzi muhimu ya maisha. cross-stitch n mshono kingamo. ~-word n (also cross-word puzzle) chemsha bongo, fumbo la maneno (katika jedwali mraba).