cross-section

n 1 picha ionyeshayo sehemu za ndani ya kitu. 2 (fig) kiwakilishi; kundiwakilishi, mfano halisi wa kitu au jambo ~ of the voters kundi wakilishi la wapiga kura.