crook

n 1 bakora. 2 mapindi (ya mto,njia). ~-back(ed) n kibiongo. 3 (colloq) mkora, jambazi; mdanganyifu. 4 on the ~ (sl) kwa ukora. vt vi pinda, potoa; pindika, potoka. crooked adj -sionyooka, -enye matege, -a upogoupogo; halifu, -sio aminifu.crookedly adv. crookedness n.