criticism

n 1 kazi ya mhakiki, ufundi wa kutoa maoni kuhusu sanaa, fasihi n.k. 2 uhakiki. 3 ukosoaji. criticize vt vi criticize (for) 1 hakiki. 2 kosoa. critique n tahakiki, uhakiki.