crime

n 1 jinai, uhalifu, kosa. ~fiction n riwaya za jinai. commit a ~ tenda kosa la jinai. 2 manza, kosa la kijinga. 3 (in the army) uvunjaji kanuni; kuvunja sheria. 4 aibu, jambo la kutia huruma, dhambi. ~ sheet n rekodi ya makosa ya askari. criminal adj -a jinai, halifu. criminal court n mahakama ya jinai. criminal record n historia/kumbukumbu ya jinai. criminal procedure n taratibu za kesi ya jinai. of a criminal nature -a jinai, -a kijinai institute criminal proceadings against somebody shtaki mtu Criminal Investigation Department Idara ya Upelelezi wa Jinai n mhalifu, mvunja sheria. habitual criminal n mhalifu sugu. criminally adv. criminology n elimu jinai.