crew

crew

1 n (collective noun) 1 wafanyakazi melini, katika ndege au gari moshi. ground ~ n mafundi ndege (katika kiwanja cha ndege). 2 kundi la watu wafanyao kazi pamoja. ~-cut n mtindo wa kukata nywele na kuwa fupi sana. ~ list n koli. vi I'll ~ for you next week nitakuwa baharia wako wiki kesho.

crew

2 pt of crow2.