crescent

n 1 hilali, mwezi mwandamo, mwezi kongo. 2 safu ya nyumba yenye umbo la hilali. the ~ n (fig) Uislamu adj -a hilali, -enye umbo la mwezi mwandamo.