creosote

n (chem) kresoti: aina ya mafuta mazito yatokanayo na lami (hutumika kuhifadhia mbao). vt paka kresoti.