cremate

vt unguza/choma maiti (badala ya kuzika). cremation n. crematorium/crematory n tanuu ya kuchomea maiti.