creep

vi 1 tambaa. 2 (of age, time) enda polepole, fikia/ingia polepole. 3 nyata, nyapa. ~ up to nyatia, nyemelea. n the ~s (sl) mtu anayejipendekeza; misisimko, hali ya damu kusisimka. it gave me the ~s ilinisisimsha damu kwa hofu. creeper n 1 kiumbe mwenye kutambaa, mtambaa. 2 (kwa nafaka) mtambo wa uchukuzi. creepy adj -enye msisimiko.