n 1 muamana. 2 mkopo, karadha. buy/sell on ~ nunua/ uza kwa mkopo. ~ accountn (US charge account). ~ cardn kadi ya mkopo. ~ noten hati ya kudai. letter of ~n hati ya muamana. ~ squeezen sera ya kubana utoaji mikopo. ~ balancen baki ya upande wa malipo. 3 (book-keeping) mpe: maingizo ya fedha zilizotolewa. 4 sifa njema, heshima. give ~ (to) sifia, tambua. do/reflect ~ ongezea sifa. 5 imani the rumour is gaining ~ uvumi unazidi kuaminika she has five books to her ~ ameandika vitabu vitano. vt 1 amini. 2 kopesha. 3 fanya maingizo ya. creditableadj. creditorn mwia. ablyadv.