create

vt 1 umba, huluku. 2 sababisha, onyesha. 3 (invent) buni, vumbua, tunga, anzisha. creation n 1 uumbaji, kuhuluku. 2 vitu vyote vilivyoumbwa. 3 kazi za sanaa the women were wearing the newest creations of the Paris dress designers wanawake walikuwa wakivaa mitindo mipya kabisa ya washonaji wa Paris. creative adj -a kubuni; bunifu. creativity n kipaji cha kubuni/kutunga. creator n muumba, mwumbaji; (rel) Mwenyezi Mungu.