cream

n 1 malai. 2 sehemu iliyo bora ya kitu au jambo lolote the ~ of the students wanafunzi bora. 3 dawa ya viatu (ifananayo na malai). 4 (chem) ~of tartar hamira, soda. vt engua malai, fanya kama malai. creamy adj -enye rangi ya malai. creamer n 1 mashine ya kutenga malai. 2 mwiko au chombo cha kukusanyia malai. creamery n 1 duka la kuuza siagi, maziwa, jibini. 2 kiwanda cha kutengenezea siagi.