crazy

adj ~ (about) 1 -enye kupenda/kutamani sana. 2 jinga; -enye wazimu (kichaa, mafuu). go ~ pata wazimu. drive somebody ~ tia wazimu. 3 -liochangamka, -enye kupenda sana kuliko kiasi he is ~ about the cinema mshabiki wa sinema. 4 (of buildings etc.) -sio salama, karibia kuvunjika au kuanguka; (of a ship) -lioharibika, isiyofaa kwa safari. ~ bone n see funny bone. craziness n. crazily adv.