craze

vt,vi 1 tia kichaa; tia wasiwasi, rusha akili. 2 pata wazimu. n 1 wazimu, kichaa. 2 mtindo (unaopendwa sana na kudumu kwa muda mfupi).