crayon

n 1 chaki/penseli laini ya rangi. 2 picha/mchoro wa chaki/penseli ya rangi au makaa. vt chora kwa chaki/ makaa.