crawl

vi 1 tambaa; jikokota. ~ to somebody jipendekeza. 2 enda polepole. 3 jaa viumbe watambaao ~ with vermin etc. jaa wadudu n.k. 4 (of skin) sisimka. n 1 kutambaa, mtambao. 2 kuogelea kipaka. crawly adj. ~y feeling n msisimko. crawler n 1 mtambaazi. 2 (of baby) ovaroli ya kutambalia. 3 (GB sl.) mtu mwenye kujidhalilisha.