crate

n 1 sanduku/kasha la kuchukulia bidhaa. 2 (of fish etc) tenga. 3 (of beer) kreti. 4 (sl) mkweche, ndege au gari la zamani lililochakaa. vt funga ndani ya kasha n.k.