crash

crash

1 n 1 kishindo (cha kuanguka au mpasuko). 2 mgongano. ~ barrier n kizuizi cha hatari. crash-dive n uzamaji ghafla wa nyambizi kuepa shambulio. vi 1 tua/zama kwa haraka. 2 anguka/vunjika vipande vipande kwa kishindo. 3 gonga; gongana. 4 pata kwa nguvu. gate ~ ingia kwa nguvu. crash-landing n (of aircraft) kutua/anguka (kwa nguvu na kwa kishindo). ~ helmet n kofia ya kinga. ~ pad n (sl) mahali pa kulala wakati wa dharura. ~-programme n mpango wa dharura. 5 (of company) filisika. crashing adv (sl) sana, kabisa. a ~ing fool n mpumbavu kabisa.

crash

2 n kitambaa cha kitani.