crape

n kitambaa cheusi chenye mikunjo (kilichotumiwa zamani kushonea nguo ya mfiwa). vt funika, visha kitambaa hicho.