crank

2 n mtu mwenye mawazo ya ajabu na kuyashikilia sana a fresh air ~ mtu apendaye kuwa na madirisha wazi hata kama kuna baridi kiasi gani. cranky adj (of people) -enye mambo ya ajabu; -enye wazimu; (of machines) -sio imara; (naut) -enye uwezekano wa kupinduka.